Wakuu naomba makadirio ya bati za mita tatu migongo midogo na mbao zitakazotumika, nyumba ina upana wa mita 11 na urefu mita 14.
View attachment 1273636
Hapo 90 ila chukua 100 kabisa maana zinakatwa visambusa sanaWakuu naomba makadirio ya bati za mita tatu migongo midogo na mbao zitakazotumika, nyumba ina upana wa mita 11 na urefu mita 14.
View attachment 1273636