Idadi ya Daladala na upcountry buses

Idadi ya Daladala na upcountry buses

crabat

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
4,323
Reaction score
2,207
Mamlaka ya usafiri nchini haijui idadi kamili ya dalada kila mkoa nchini.

Pia haifahamu idadi ya mabasi ya yaendayo mikoani. Taasisi hii muhimu inapata fedha nyingi sana kutokana na fees na leseni lakini inashindwa kutoa takwimu hizi muhimu.

Pia yapo mabasi yanatembea bila ya usajili wa Latra lakini hawa jamaa wanakula AC tu ofisini na maposho.
Takwimu hizi ziwekwe public zinatakiwa kufanya utafiti

Kupanga miundo mbinu. Kupanga premium za bima, hizi takwimu sio siri ziwekwe hadharani na kila miezi 6 ziwe updated.
So far Latra wameshindwa kutusaidia kazi yao sio kutoa route tu.
 
Back
Top Bottom