Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

Kila Ubaya Utalipwa
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi mashahidi walitajwa wengi kwa idadi lkn waliotoa ushahidi ni 5/7?. ....Rau juu....
Hatimaye magaidi yakasamehewa na aliyekuwa na mshtaki wayo.
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
[/QUOT
Mfa Maji...
 
CLASS OF 2025.
Darasa lilianza mwezi wa tatu linafuzu mwezi wa nane.
 
Mtu mmoja kuipindua nchi yenye serikali mbili, nchi mbili, mabunge mawili na marais wawili ndani ya chama kimoja kinachotawala! Lissu is more than RAMBO.
Tungekuwa na wataalamu wa kutengeneza filamu wangetengeneza Script ya bonge la muvi la mtu anayepindua serikali mbili nchi mbili peke yake!
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Mnajaribu kugeuza uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo. Kama ni mpango wa Mungu mnafanya kazi bure. Hao ni mashahidi wa uongo kwenye kesi ya uongo. Uamuzi wa kuipeleka kesi mahakamani bila media ni kujaribu kukwepa aibu.
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Kitengo cha propaganda cha ccm kingetangaza kazi wangepata watu wanaomudu hiyo kazi.
Ninachoona kwa sasa ni machawa tu.
Imagine mtu kama
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
George wa tahliso
funaku
Rounded mouth
Ndio wasemaji..
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Wenye akili hapo hamna kesi ni kupotezeana mida tu. TL atawanyoosha kwa kutumia utaratibu wao wenyewe ngoja afike mahakama kuu
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Wakili ajue kuna Mungu na siku ya hukumu siku ya kiama atasimama pekee yake
 
DAH
 
Hii kesi ilivyotengenezwa ni Mungu tu aingilie kati, vinginevyo huyu bwana mdogo hatoboi
 
Kwa hiyo kutangaza hadharani uasi sio kosa?
 
Kwa jinsi alivyosema "wanasema tunataka kufanya uasi, ndiyo tutafanya uasi tutazuia uchaguzi mkuu"

Inabidi afafanue alimaanisha nini

Kwa hivyo kuzuia uchaguzi mkuu ndio uhaini?.
 
KWA MUJIBU KWA MUJIBU KWA MUJIBU. NYAMBAFFF WEKA A SPECIFIC CLAUSE AU KIFUNGU KUHALALISHA HOJA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…