Uhaini (kutoka neno la Kiarabu خيانة, "khiyāna", yaani Usaliti) ni kosa la kusaliti nchi yako, kwa kawaida kwa kujaribu kupindua serikali, kuendesha vita dhidi ya taifa, au kusaidia maadui wake kwa njia yoyote ile.Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Si vijipande pande tu vya majarida na vijiclip walivyorecord hata hivyo tisa vichache ,Wangeleta mizinga makombora,hapo tungejua kweli Lisu alijiandaa.Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Na alisema "ndiyo tutafanya uasi" hilo ndo tatizo..alisema atazuia uchaguzi usio wa haki.
..Na ataruhusu uchaguzi mzuri wa h1aki.
..sasa kama serikali inakiri kwamba uchaguzi utakuwa huru, na haki, basi bila shaka Tundu Lissu angeunga mkono.
Tatizo ni kusema "ndiyo tutafanya uasi" kuhusu wenzake kutokushikwa mimi sijui ila niliona hivyo video clipKama alisema tutafanya mbona hao atakaofanya nao hawajashikwa...!!?
By the way, mtu wa kwanza kutamka No Reforms No Election alikuwa ni Mbowe. Yeye hakukamatwa badala yake akakamatwa Lissu kwa kuyarudia hayo maneno. Au kosa lake ni kusema yutakinukisha? Neno la kawaida kabisa huko mtaani....!!
Sasa kukinukisha ndio uhaini? Ujinga mtupu.
kukinukisha ni nini kisheria. ni kufanya uhaini kupindua nchi, kuua,kuandamana, what exactly it was intended,motive to do what. ushahidi lazima uonyeshe.
[emoji1787] Mkuu embu nijulishe mtu akisema atakinukisha Maanayake ni nini?.
Ndio ni ndogo!Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Ziko sawa100%mashahidi wa Lissu
1. Samia
2. Mpango
3. Majaliwa
huyu jamaa haziko sawa, tunaweza kuwa tunahangaishwa na mgonjwa
"kukinukisha" maana yake nini mkuu, hasa kisheria.
Mashahidi 30 ni wengi ila wote wanakuwa muflis,ila shahid watatu wa TAL ni hatar kama kaa la moto,sa100,majaaliwa,mpango
huko nitoe brotherKitengo cha propaganda cha ccm kingetangaza kazi wangepata watu wanaomudu hiyo kazi.
Ninachoona kwa sasa ni machawa tu.
Imagine mtu kama
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
George wa tahliso
funaku
Rounded mouth
Ndio wasemaji..
Sipo kwenye mashahidi...ningekuwepo ushahidi wangu ungekuwa mgumu sana kwakeWewe ni shahidi yupi mjinga wao?
Au ni yule bodaboda wa mama aliyesema alisikia kukinukisha akapata hamasa!
Ila sifa ya moja ya kuwa ccm ni kuwa mpumbavu na mnafiki.
kwani unafahamu kosa hilo limeanza lini?Ukishaona rundo la mashahudi ujue ni mashabidi wa kutengenezwa. Ushahidi halisia hata mashahidi wawili wanatosha kumtia mtu hatiani. Hilo rundo la mashahidi wa kutengenezwa limewekwa ili kurefusha muda, ili waendelee kumtesa Lisu na kumzuia kurudi iraiani kufanya siasa.
Mashetani na mawakala wao wanahangaika sana.
Mungu wa huruma awalaani hawa watu wanaodhulumu haki za watu.
We shoga nenda kanye akili ikurudi. Na akifungwa urudi kuandika tena. Huyo mbwa wenu atapigwa za maisha na hamna la kufanya acha kupanic we nge
Watu gani waliojiamulia kupita nae au unakusudia wahuni?Hizi faraja mnazitolea wapi?
Hivi nyie kila asimuunga TAL mkono manaake hana akili?
Huyu jamaa muda huu ameyakanyaga, watu walishamjulia watapita nae kama kibwabwa
Trust me
Ugumu gani huo?Sipo kwenye mashahidi...ningekuwepo ushahidi wangu ungekuwa mgumu sana kwake
Kwa jinsi alivyosema "wanasema tunataka kufanya uasi, ndiyo tutafanya uasi tutazuia uchaguzi mkuu"
Inabidi afafanue alimaanisha nini
Acheni kujitoa ufahamu vijana katika mambo mepesi kama haya. Muktadha wa tamko kukinukisha ni uhaini, Asili ya maana katika neno ni uhakika wake kabla halijatumika kiistilahi.
Kukinukisha ni tamko la mtaani ambalo sio halijarasimishwa katika Kiswahili sanifu, lenye maana ugovi na machafuko kulingana na muktadha wa wapi limetumika. Mchukue mtanzaniac yeyote umuulize kuhusu kukinukisha, je humaanisha amani na utulivu ?
Au sheria zenu huwa haziangalii muktadha ?