Idadi ya miili Shakahola yafikia 242

Idadi ya miili Shakahola yafikia 242

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242.

Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya waliopatikana hai 93.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242.

Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya waliopatikana hai 93.
Poleni sana, makanisa ya sasa inabidi akili ifanye kazi, usipochanganga za kuambiwa na zako unapotea.
 
Back
Top Bottom