Kenyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 414 Reaction score 314 May 29, 2023 #1 Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242. Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya waliopatikana hai 93.
Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242. Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya waliopatikana hai 93.
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,840 May 29, 2023 #2 Kenyan said: Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242. Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya waliopatikana hai 93. Click to expand... Poleni sana, makanisa ya sasa inabidi akili ifanye kazi, usipochanganga za kuambiwa na zako unapotea.
Kenyan said: Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242. Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya waliopatikana hai 93. Click to expand... Poleni sana, makanisa ya sasa inabidi akili ifanye kazi, usipochanganga za kuambiwa na zako unapotea.