Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa zinavunjika ndoa 300.
"Tafiti zinasema ndoa zinavunjika kuanzia mwaka mmoja mpaka mitatu ndio maana mtu/watu wakifikisha miaka mitano katika ndoa wape hongera maana sio mchezo"
"Tafiti ya mwaka juzi ya Dar es Salaam ilikua unasema kwa mwezi zilikuwa zinavunjika ndoa 300, ina maana kwa siku ndoa 10 zinavunjika"