Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
unasema mateso wakati uroda unapata bure wakati wowote ukihitajiNdoaa mateso tu
Ova
😄 mbona kuna wakati wananyimanaunasema mateso wakati uroda unapata bure wakati wowote ukihitaji
Tunaongoza 2-0Wakuu
Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa zinavunjika ndoa 300.
"Tafiti zinasema ndoa zinavunjika kuanzia mwaka mmoja mpaka mitatu ndio maana mtu/watu wakifikisha miaka mitano katika ndoa wape hongera maana sio mchezo"
"Tafiti ya mwaka juzi ya Dar es Salaam ilikua unasema kwa mwezi zilikuwa zinavunjika ndoa 300, ina maana kwa siku ndoa 10 zinavunjika"
Kila mwezi Tanzania wanakufa watu 4000 lakini wanazaliwa elfu 30,000..............Wakuu
Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa zinavunjika ndoa 300.
"Tafiti zinasema ndoa zinavunjika kuanzia mwaka mmoja mpaka mitatu ndio maana mtu/watu wakifikisha miaka mitano katika ndoa wape hongera maana sio mchezo"
"Tafiti ya mwaka juzi ya Dar es Salaam ilikua unasema kwa mwezi zilikuwa zinavunjika ndoa 300, ina maana kwa siku ndoa 10 zinavunjika"
Haka kaujinga sifanyi mkuu.Hali inatisha mwanamke anataka ndoa akiwa na record zifuatazo
Body count - 30 Men
Abortion - 4 times
P2- Countless
Huyu akifikia kwenye retirement plan atatafuta simp wake ambaye atamfichia hizi record zake zote aingie kwenye ndoa na status mpya ( Mke wa mtu)
Bila jibu la swali lako huu utafiti ni upuuziKila mwezi Tanzania wanakufa watu 4000 lakini wanazaliwa elfu 30,000..............
Unaweza tutajia kila siku ama mwez zinafungwa ndoa ngapi vile?,