Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Ile Tume imejaa wapuuzi watupu hata kwa kuangalia machoni tu wanaonekana wamejaa aibu na kunyong'onyea kwa kushindwa kutenda hakiMchawi mkuu wa uchaguzi huu ni tume na jeshi La polis, tume wametuangusha sana watanzania.