Habari, Leo nimeona niwaelimishe ndugu zangu namna ya kujua idadi ya tofali zinazohitajika katika ujenzi wa nyumba. Katika somo hili, tutatumia ramani ya chumba kidogo cha mita 3 kwa mita 3, chenye madirisha mawili (urefu mita 1.2, upana mita 1) na mlango mmoja (urefu mita 2.4, upana mita 0.9)...