Idadi ya wageni wanaoingia nchini Kenya yaongezeka kwa 14%

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukuaji wa utalii wa mikutano umeleta uhai kwa sekta ya hoteli baada ya idadi ya wageni wanaoingia nchini Kenya kupitia viwanja vya ndege kuongezeka kwa asilimia 14 katika miezi mitano ya mwanzo ya mwaka huu.





Taswira ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi.

Takwimu za serikali ya nchi hiyo zinaonesha kuwa kumekuwa na wageni 324,276 kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) na Uwanja wa Kimataifa wa Mombasa (MIA) baina ya Januari na Mei mwaka huu.

Takwimu za Ofisi ya Takwimu Kenya katika ripoti zake za vyanzo vinavyoongoza katika kukuza uchumi, zinaonesha katika kipindi kama hicho mwaka 2015, Kenya ilipokea wageni 284,313 kupitia viwanja vya ndege.
Mikutano ya kimataifa yainufaisha Kenya kiutalii | East Africa Television
 
Hey, are those figures right? they look so few
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…