Idadi ya waliofariki dunia kwenye maandamano ya Nairobi pekee yafikia 3

Idadi ya waliofariki dunia kwenye maandamano ya Nairobi pekee yafikia 3

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Watu watatu wameaga dunia eneo la Mlolongo kwenye barabara ya kuelekea Mombasa kufuatia vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini.

Aidha waandamanaji wa eneo hilo leo wameharibu sehemu ya barabara ya Expressway iliyokuwa ndio mradi mkubwa wa mwisho wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta.

Expressway ni Moja kati ya miradi mikubwa aliyofanikisha Uhuru Kenyatta na kurahisisha usafiri wa wageni kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta mpaka eneo la Westlands.
 
Wamemlea mno anayeandamisha watu mwishowe ameanza kugharimu uhai wa raia wasiokuwa na hatia.
 
Back
Top Bottom