Idadi ya waliomba mikopo ni kubwa kuliko ile ya TCU.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Bodi ya mikopo wametoa idadi ya waombaji wapya wa mikopo elfu 54 wakati waliomba tcu kulingana takwimu zao hawafikii elfu 45 je ongezeko hilo limetoka wapi.
Isije ikawa ni janja ya kuwanyima watoto wa masikini mikopo.
 
Nadhani wengine ni wanaoendelea na masomo ambao walijianzisha kama private na sasa wameamua kuomba mkopo
 
Mkuu molembe nakuunga mkono! Coz nakumbuka TCU walisema this year wananafas elf 50 za kudahili wanafunz wa mwaka wa masomo 2013/2014 ((form 6 fresh frm school,diploma holders, na waliomalza 2012 kushuka chini)) ! ambapo first wenye sifa tupo kama elf 31 achana na dv3 ambazo hazina principle(i.e E S S)! Ktkana maelezo ya HESLB ;source gazet la habar leo, wanasema first time loan applicant tupo elf 54!! Swal langu je unaruhusiwa kupata mkopo hata kama chuo unachotaka kusoma hakidahiliwi na TCU?
 
Mkuu molembe nakuunga mkono! Coz nakumbuka kwenye kipind cha "malumbano ya hoja ITV" TCU walisema this year wananafas elf 50 za kudahili wanafunz wa mwaka wa masomo 2013/2014 ((form 6 fresh frm school,diploma holders, na waliomalza 2012 kushuka chini)) ! ambapo first wenye sifa tupo kama elf 31 achana na dv3 ambazo hazina principle(i.e E S S)! Ktkana maelezo ya HESLB ;source gazet la habar leo, wanasema first time loan applicant tupo elf 54!! Swal langu je unaruhusiwa kupata mkopo hata kama chuo unachotaka kusoma hakidahiliwi na TCU?
 
Hii inaweza tokea kwa sababu watu waliomba mkopo hata kabla ya matokeo ya kidato cha sita hasa wale wa 2013,na baada ya matokeo hana sifa za kuapply TCU,kwa mfano mtu ana principle moja automatically anakuwa ameunguza pesa kwa kutuma body. Mfano hai wa mtu kama huyo ninao,hivyo alipoteza Tsh.91,700/= i.e Board 30,000+11,700 kutuma na 50,000 TCU na baada ya matokeo alipata S,D,S PCM.
 

hapo kwenye red jibu ni NDIO
 
Hata mimi nakumbuka katika kipindi cha malumbano ya hoja ITV tcu walisema kuwa walioapply form 6 walikuwa kama elfu 36 wakati diploma na other equivalents walikuwa elfu 7.5 na kumbuka chuo pekee kinachofanya udahili peke yake ni muslim university.
 
Sidhani kama kuna mtu aliomba mkopo bila kupata matokeo yake,kwangu mimi naona isije kuwa wanataka kupiga deal kupitia wanafunzi hewa wanaonufaika na mkopo watoto wa masikini wakanyimwa.
 

ndio unaruhusiwa mfano wanaosoma MUM hawadahiliwi na TCU lkn wanaomba mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…