Idadi ya waliuawa yafikia 5 baada ya makabiliano kati ya polisi na wafuasi wa Odinga

Wamevunja milango kisha wakafunga huku wakinywa vileo? Mbona sioni vileo unavyosema kwenye picha? Hao civilian wako hapo naona kama ni wenyewe duka hizo na pia wafanyikazi kwa hiyo your cheap propaganda has thus terribly failed.

muangalie huyo hapo kushoto kabisa anavyojimiminia vyombo hapo. baada ya kazi ni kujipooza na lager.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…