Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?
labda ungeweka bayana wanaume wanatembea na wanawake wangapi kabla hawajaoa
50. . . nataka kufikisha 100.
namaanisha idadi ya wanaume au wanawake uliyo wahi kutembea nao
so kila wanachofanya wanaume ni 'sawa' wanawake wafanye pia?
Kwani wewe ni mashine au mtu?hiyo mashine au mtu.!!?
Swali lako nadhani linawahusu WANAWAKE na WANAUME, ila umelichanganya mno. Mwanzo ukilisoma linaeleweka kama unamzungumzia MWANAMKE na mahusiano aliyowahi kuwa nayo. Lakini katika swali lako lako katika BLUE linalenga watu wa jinsia zote mbili. Na hapo katika GREEN hujaeleweka kabisa. Funguka vizuri ili upate comments za kueleweka.Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?