Elections 2010 Idadi ya wapiga kura kituoni

Nikupateje

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2009
Posts
1,334
Reaction score
989
Tuanze hapahapa kujumlisha idadi ya wapiga kura kila kituo inavyowezekana. Ni kiasi cha wewe kutembelea kituo chako na kuweka idadi kama ambavyo majina yalivyobandikwa. Na kama sijakosea majina yamebandikwa tangu leo. Hivyo tujaze kila mmoja wetu mpangilio ufuatao na zitakapoanza kuhesabiwa kura tutajumlisha wenyewe kila tunavyopata matokeo ya kituo bila kusubiri tujumlishiwe na NEC. Najua inawezekana tusipate vituo vya nchi nzima lakini kama kweli tutaacha porojo basi walau vinavyowezekana tunaweza kufanyia kazi:

Kituo: Tivoli
Jimbo: Nyamagana
Idadi: 6,236

Huu ni mfano. Inaweza kuwekwa katika spreadsheet ikawa bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…