Idadi ya wasichana wadogo wanaopelekwa na kufa Uarabuni yaongezeka maradufu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Uhai ni muhimu, lakini kwa wakenya "remittances" ni muhimu zaidi kuliko Uhai wao.
 
Aisee hii ni mbaya sana. Kenya ni ndugu zetu. Najisikia vibaya sana kuona wanapitia haya. Kwani wanalipwa bei gani huko, waje hata huku Tz mbona mabeki tatu tunalipa vizuri tu.
 
Mkuu wakenya sio watu wa kuwahurumia, ndani ya Kenya wanauana Sana wenyewe kwa wenyewe, hawana utu ni wanyama Sana, Yani kwao kutafuta pesa "is a matter of life and death".
 
Ndugu zangu warangi wa kuondoa ni wahanga wa hii kitu !kisa imani za kiislamu na mtume kia mwarabu wanadhani huko ni apazuri kumbe hawajui ukatili wa huko!

So sad!!
 
Mkuu wakenya sio watu wa kuwahurumia, ndani ya Kenya wanauana Sana wenyewe kwa wenyewe, hawana utu ni wanyama Sana, Yani kwao kutafuta pesa "is a matter of life and death".
Halafu wakenya kitabia wanataka kufanana na watu fidodido wa pande za kaskazini ati.
 
Back
Top Bottom