joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mkuu wakenya sio watu wa kuwahurumia, ndani ya Kenya wanauana Sana wenyewe kwa wenyewe, hawana utu ni wanyama Sana, Yani kwao kutafuta pesa "is a matter of life and death".Aisee hii ni mbaya sana. Kenya ni ndugu zetu. Najisikia vibaya sana kuona wanapitia haya. Kwani wanalipwa bei gani huko, waje hata huku Tz mbona mabeki tatu tunalipa vizuri tu.
Halafu wakenya kitabia wanataka kufanana na watu fidodido wa pande za kaskazini ati.Mkuu wakenya sio watu wa kuwahurumia, ndani ya Kenya wanauana Sana wenyewe kwa wenyewe, hawana utu ni wanyama Sana, Yani kwao kutafuta pesa "is a matter of life and death".
https://www.facebook.com/