Idadi ya Watalii wanaoingia Zanzibar yaporomoka

Idadi ya Watalii wanaoingia Zanzibar yaporomoka

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
beach-palm-trees_zanzibar.jpg

Idadi ya watalii walioingia Zanzibar imeshuka kwa asilimia 4.9 kwa mwezi Februari 2023 kutoka wageni 68,813 mwezi Januari 2023 hadi wageni 65,430 Febuari 2023, huku Bara la Ulaya likiongoza kwa uingizaji wa wageni hao.

AZAM TV
 
Wataongezeka huku bara kuja kuona maiti ya bob junior, tanapa jiongezeni msimzike bob junior bali mumkaushe watalii wakija wamuone
 
Funga imeingia, hapo itapungua zaidi kwa kuwa watu wa huko hawapendi kuona wengine wakila mchana wakati wenyewe wamefunga kula mchana
 
kwa kweli TZ hali ya Utalii inasikitisha sana, Inashangaza kuona kuna wapuuzi unakuta wanajisifia huu utalii uchwara. Yani mpaka leo hatuna guarantee ya kupokea watalii 1 m kwa mwaka ni aibu sana. Kuna watu wanatemebea na 20 m kwa mwaka huko.
 
Back
Top Bottom