Idadi ya Watanzania wanaoenda Kenya yapungua kwa kasi....tatizo nini?

Nimekaa Kenya miaka 3 sijaona Watanzania tukibaguliwa, zaidi Dada zao wanatupenda. Naenda tena miaka 1.5
 
Reactions: Oii

nashkuru sana hiyo sababu izidishe idadi kushuka ata ikiwezekana kwenye zero kwani roho ya utu tunayo kama wakenya lakini.......
How foreign beggars strike it rich in Kenya By | Published Wed, September 29th 2010 at 00:00, Updated Wed, September 29th 2010 at 00:00 GMT +3
Read more at: How foreign beggars strike it rich in Kenya- IMBA WATANZIA X2

A Tanzanian man, his wife, and the street beggars they were arrested with on Wednesday night for collecting money in Embu town. Photo/KNA


Tanzanian beggars flood streets of Nakuru By Sarah Otieno | Published Mon, November 27th 2017 at 09:53, Updated November 27th 2017 at 09:59 GMT +3
Read more at: Tanzanian beggars flood streets of Nakuru




Pauline attends to a disabled customer, a beggar from Tanzania Read more: This beautiful Safaricom employee has melted people's hearts (photos)

The list is endless. Can tanzania send us more of other groups now. We have welcomed the disabled sent over here for better life. Its time we got other groups
 
omba omba ndio wamejaa kote na vikombe vyao tutawasaidia..wengine wabaki kwao...we don't want lazy ldc brains in Kenya...tanzanians wavivu number one..
 
mwingine asema kenya nchi maskini hajioni yeye anapoishi nchi maskini wa kutupwa...sasa kati ya kenya na tz ni ipi maskini?😀😀😀😀😀
 
eti usa, uk, germany...wewe hapo tandale umeshawahi kutoka?
 
Wakenya sio wabaguzi ila wana ile mind-your-own-business attitude haha.....kwa mbongo lazima uhisi ni rudeness.
Yes huku tumezoea kujichanganya na watu wa rika mbali mbali huku tukipeana mawazo.
 
wacha tu pindi Zuwenna atakapoolewa humu...atakwamia humu asitake kurudi kwao ng'o
 
Mimi nitazidi kusema siku zote.....

Baadhi ya wakenya wengi na watanzania hawana kazi za kufanya,

Sijawahi kuona waganda wanasutana kwenye mitandao
 
Mimi nitazidi kusema siku zote.....

Baadhi ya wakenya wengi na watanzania hawana kazi za kufanya,

Sijawahi kuona waganda wanasutana kwenye mitandao

Hasa Mganda asutane na nani !!
 
Hakuna sababu ya maana ya watanzania kutbelea kenya. Watanzania wengi wanaoenda kenya ni wasanii, na wengine wanaotaka kusafiri kwenda nchi zingine kupitia kenya. Wakenya ni wabaguzi sana hawawezi kukaa na waTZ.
You are right..... Wa kenya hawana lugha hizi Midomoni mwao..

Tafadhali
Samahani
Naomba
Nisaidie
 
Kitendo cha Kenya kuzuia gesi ya kupitia Tanzania kuingia nchini kwao kimewa cost vibaya sana. Na bado...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…