Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
jaribuni figisu muone tutawafanya nn wenzenu huku Tanzania!Na itapungua hadi ibaki zero wabaki wale omba omba wenu, maana utawala wenu wa sasa unalea chuki baina yetu, kwa mara ya kwanza nimeskia Wakenya mtaani wakitaja chuki wanazoskia zinazotokea kwa Watanzania. Kawaida tuliokua tunajua chuki zenu ni sisi tu ambao tumewahi kuingia Tanzania, lakini leo hii mumeanza kutajwa vijiweni maana taarifa za hizo chuki zinafika huko, leo hii Mtanzania kujitambulisha ndani ya Wakenya anakua na kauwoga fulani, sio kama ilivyokua awali ambapo Wakenya hawakua hata na muda kuwaza Utanzania wako.
Yaani mpo pagumu kweli, nyumbani kwenu huko mnalia vyuma vimekaza lakini pia kwa majirani na huko mumechonganishwa hivyo pakutorokea hakuna.
Hahahahahahahahahahahahaha, Hivi lini mtatoka katika kundi la failed state?Ndio maana mtabaki LDC
Kisa you're not pragmatic. You don't hold any right to question anyone's IQ.Kisa Hatuatumii hash language... IQ yako ndogo wewe
Hiyo "mind-your-own-business" kwa lugha nyingine ni ukabila.Wakenya sio wabaguzi ila wana ile mind-your-own-business attitude...
Kama ulitaka kuja Kenya bali hukuja sasa ulipatana wapi na daladala ya Mkenya?Nilikuwa na plan ya kwenda Kenya.. Ghafla nikabadilisha Mawazo nikaenda Ethiopia. Ilikuwa hivi.
Kuna dereva mkenya alinitreat rude and harsh sana nilipopanda daladala yake... Jamaa kanioverchage nauli....then likataka kuzuia na mzigo wangu simply amejua Mimi ni mtanzania. Thus we can be easily shaken.
Alikuwa mkikuyu na kibaya zaidi akaropoka kwenye daladala kwamba "hutujui sisi wakikuyu tunakata potepote." Ghafla ukawa mjadala wa kikabila wajaluo wakaintervene likawa zogo na vurugu la kikabila...abiria wale wakijaluo na makabila mengine wakaniambia the real fare na wakanisisitiza kulipa hiyo hiyo.
I was drained and exhausted....nikashukia sehemu moja inaitwa Emalia kama sikosei then nikafafuta means nikaenda zangu Addis Ababa... Kwa warembo wa kihamric wale watu ni humble and kind sana, wakikuyu ni wa Ku approach with a lot of cautious.
Honestly Nilikasirika saana.
Using one incident to generalize a whole country is stupid. Your story does not even add up. Emali to Nairobi ama Mombasa haupati daladala za mkato,pili hiyo sehemu siyo ya wakikuyu ama wajaluo..Nilikuwa na plan ya kwenda Kenya.. Ghafla nikabadilisha Mawazo nikaenda Ethiopia. Ilikuwa hivi.
Kuna dereva mkenya alinitreat rude and harsh sana nilipopanda daladala yake... Jamaa kanioverchage nauli....then likataka kuzuia na mzigo wangu simply amejua Mimi ni mtanzania. Thus we can be easily shaken.
Alikuwa mkikuyu na kibaya zaidi akaropoka kwenye daladala kwamba "hutujui sisi wakikuyu tunakata potepote." Ghafla ukawa mjadala wa kikabila wajaluo wakaintervene likawa zogo na vurugu la kikabila...abiria wale wakijaluo na makabila mengine wakaniambia the real fare na wakanisisitiza kulipa hiyo hiyo.
I was drained and exhausted....nikashukia sehemu moja inaitwa Emalia kama sikosei then nikafafuta means nikaenda zangu Addis Ababa... Kwa warembo wa kihamric wale watu ni humble and kind sana, wakikuyu ni wa Ku approach with a lot of cautious.
Honestly Nilikasirika saana.
Kenya Wezi... Mizigo yote inayotoka nje kupitia Kwenu Mnafungua Mnaiba ..Kisa you're not pragmatic. You don't hold any right to question anyone's IQ.
Wakenya kwa Wakenya hamsaidiani, mnasema kila mtu anajali mambo yake binafsi! Kweli mnaweza kusaidia WaTz? Hata hivyo Wakenya hamna uwezo wa kumsaidia Mtanzania kwani hamna kitu ambacho Wakenya mncho na sisi Watamzania hatuna. Sasa msaada wa nini!?omba omba ndio wamejaa kote na vikombe vyao tutawasaidia..wengine wabaki kwao...we don't want lazy ldc brains in Kenya...tanzanians wavivu number one..
hàpo ndiyo utakuwa tumepata KAZI?Na mtanzania au mkenya
Uliza ombaomba Watz waliojaa mijini Kenya.Wakenya kwa Wakenya hamsaidiani, mnasema kila mtu anajali mambo yake binafsi! Kweli mnaweza kusaidia WaTz? Hata hivyo Wakenya hamna uwezo wa kumsaidia Mtanzania kwani hamna kitu ambacho Wakenya mncho na sisi Watamzania hatuna. Sasa msaada wa nini!?
On top of that, goods from Kenya are of normal quality as those we manufacture in our country, but Kenyans won the battle of market due to their quality of package.exports to Dar declining by 18 per cent to Sh28.5 billion last year from Sh34.8 billion in the previous year.
Tanzania has frustrated entry of Kenyan products into its borders with exports of confectionaries such as sweets and biscuits already stopped.
Tanzania no longer need Kenyan goods because already manufactured right in the country