Ningependa kujua hapahapa janvini, wewe uwe mwanaume au mwanamke, ungependa kuwa na watoto wangapi katika familia yako kama hujaanza kuzaa au kama unaeye mmoja tayari. Jibu baada ya kuangalia factors zote za gharama za maisha especially kama unataka mwanao aishi maisha mazuri, elimu bora ili in one day aweze kufanya mambo ya maana na sio kuishi kwa wasiwasi bila kujua kesho itakuwaje. Pia zingatia kipato cha kawaida kwa mtanzania na gharama za elimu zilivyo. Ni kama reseach na ninaamini itatusaidia wengi ambao tuko kwenye dillema ya suala hili.

so far nashukuru kwa response ya wale waliochangia, lakini bado nahitaji michango ya wengi zaidi. Vipi mtu ukiamua unataka mmoja peke yake, hivi jamii itakuelewa, i mean wazazi wa pande zote mbili, mawifi nk? how to deal with them wakianza kuchonga?

Hili linategemeana sana na maelewano yako na Mumeo, Kama mnashibana vizuri na mmekubaliana nadhani atasimama na wewe na kuheshimu uamuzi wenu na hatawasikiliza hao wanaochonga.
Cha muhimu ukisikia wakichonga ni ujaribu kuwaambia kua mmekubaliana hivyo na kaka yao, nadhani atawanyamazasha kwa kukutetea, Lakini usijiingize katika malumbano na wifi zako kuhusiano na hili, jaribu ku-maintain friendship na peaceful atmosphere kadri inavyowezekana.
Mimi napendelea watoto wanne(4).mapacha wa kwanza wanaume,na mapacha 2 wa kike.Nitamshukuru Mungu sana.
so far nashukuru kwa response ya wale waliochangia, lakini bado nahitaji michango ya wengi zaidi. Vipi mtu ukiamua unataka mmoja peke yake, hivi jamii itakuelewa, i mean wazazi wa pande zote mbili, mawifi nk? how to deal with them wakianza kuchonga?
mie nataka weeeeeeeeeeengi mpaka kizazi kitakapochoka chenyewe