N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Ukifuatilia mwenendo wa ukuaji wa idadi ya watu duniani kwenye tovuti ya Worldometer World Population Clock: 7.9 Billion People (2021) - Worldometer utagundua kwamba idadi ya watu katika karne za nyuma kuanzia Karne ya 19 ilisalia bila kuongezeka hadi karne ya Ishirini Idadi ya Watu ilipoanza kuongezeka kwa kasi.
Lakini kwa namna COVID-19 inavyoondoka na vichwa inaonekana idadi ya watu au ukuaji unaenda kuporomoka.
Je, idadi ya Watu baada ya COVID-19 itapungua?
Lakini kwa namna COVID-19 inavyoondoka na vichwa inaonekana idadi ya watu au ukuaji unaenda kuporomoka.
Je, idadi ya Watu baada ya COVID-19 itapungua?