Idadi ya wenyeviti taifa wa CHADEMA na CCM

rwenge

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
44
Reaction score
22
CHADEMA kuanzia 1992 hadi Leo imekuwa na wenyeviti watatu takribani miaka 22 ambao ni Mtei,Makani na sasa Mbowe.

TANU/CCM kuanzia 1954 hadi Leo imekuwa na wenyeviti 4 takribani miaka 60 amabao ni Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete.

Mwenye macho aambiwi tazama
 
Hii imekaa vizuri sana, CCM waje hapa wakanushe kwani wao ndiyo wanajiita watu wa demokrasia, Jambo dogo nataka kuuliza je hao wenyeviti wanne wa ccm walishapata upinzani wakati wakuchaguliwa kwao? kama ndiyo tunaomba majina yao ili tuweke kumbukumbu zetu sawa

 
Wrong comparison! Tusichokitaka CCM ndicho tusichokitaka kifanyike CHADEMA. Namwamini mwanasiasa aliyekufa tu.
 
Easymutant weka fact sio kulalamika
 
ccm buana wanahangaika sana na demokrasia ktk vyama vingine ili hali uenyekiti wa chama chao wanapeana.
 
[emoji106] [emoji106]
 
Ukitaka ufukuzwe na uitwe msaliti chadema,tangaza nia ya kugombea uenyekiti
 
Kumbe chadema sawa na ccm. Ksahiyo haina haja ya kuikemea ccm kwa kuwa wote ni sawa...
Maana ninavyojuwa mimi ni kuwa kama wewe unahubiri amani basi lazima uonekane kuitenda amani. Na kama unahubiri democrasia basi unatakiwa tuione democrasia kwa macho yetu na sio kutuhubiria wakati tukikuangalia hauna democrasia yoyote...
Sasa leo chadema unajifananisha na ccm?
Duuuuuh aisee, hali sasa ishakuwa ngumu ndani ya upinzani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…