Mwalimu mkuu 2
New Member
- Jul 20, 2024
- 2
- 0
Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili.
Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC kwamba ifikapo mwezi oktoba zoezi litakuwa limekamilika kwa wote lakini hadi sasa hivi hakuna kitu na taarifa zote zilichukuliwa kwa wote wanaohusika.
Na hakuna sababu maalumu iliyosababisha hili mfano masomoni, adhabu, utoro nk. Inakatisha Tamaa sana. Najua viongozi wa Tamisemi na Utumishi mpo humu tunaomba majibu yenu au Uongozi wa Jf kama itapendeza tufikishieni ujumbe huu Wizara ya Utumishi na Tamisemi waje watoe majibu.
Wenu katika Utumishi Mwalimu mkuu 2