KERO Idara ya maji Kahama(KUWASA) hiki mnachotufanyia wakazi Nyasubi sio haki

KERO Idara ya maji Kahama(KUWASA) hiki mnachotufanyia wakazi Nyasubi sio haki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Man from cuba

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2021
Posts
571
Reaction score
1,394
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki .

Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama.

Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa kiurahisi tu eti , Kuna matengenezo siku tatu kweli?

Na bado mwisho wa mwezi bili unakuja kubwa KUWASA mjitafakari kama mnastahili kuendelea kukaa ofisini.
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi kahama tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa kiurahisi tu eti Kuna matengenezo siku tatu kweli??? Na bado mwisho wa mwezi bili unakuja kubwa KUWASA mjitafakari km mnastahili kuendelea kukaa ofisini

Vipi barabara huko wamepitisha japo grader? Au nyie ni wafuasi kindaki ndaki wa mama ambao kesha jihakikishia kura?
 
Back
Top Bottom