Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi kahama tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa kiurahisi tu eti Kuna matengenezo siku tatu kweli??? Na bado mwisho wa mwezi bili unakuja kubwa KUWASA mjitafakari km mnastahili kuendelea kukaa ofisini