A
Mchakato wa kulipwa...Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini.
Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa extra duty tena ni saa 11 wana-sign out wanalipwa. Vipi kwa Muhimbili Hospitali kubwa kwanini wanafanya hivyo na kwanini Idara ya Radiology?
Ina maana kuna kitu hakipo sawa huko kwenye kurugenzi ya huduma shirikishi maana haiwezekani extra duty zinafanywa kisha hazilipwi.
Mchakato wa kulipwa malipo ya ziada kwa Watumishi wa Idara ya Radiology si kwamba wao ni idara pekee ambao hawajalipwa au hawalipwi extra duty, bali kulishafanyika makubaliano kuwa hakutakuwa na malipo hayo na siyo Idara yao pekee. Kutokana na formula ambayo Radiology waliwekewa huko nyuma, iliazimiwa kuwa wasipewe extra duty (ED) ili kuleta usawa wa malipo ya allowances kwa Watumishi walio ndani ya MNH na katika hili hawapo peke yao Pharmacy na Psychiatry pia wana utaratibu unaofanana.Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini.
Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa extra duty tena ni saa 11 wana-sign out wanalipwa. Vipi kwa Muhimbili Hospitali kubwa kwanini wanafanya hivyo na kwanini Idara ya Radiology?
Ina maana kuna kitu hakipo sawa huko kwenye kurugenzi ya huduma shirikishi maana haiwezekani extra duty zinafanywa kisha hazilipwi.
Nakupe hongera mkuu kwa muda uliochukua kujibu hlo dodoso....sikutegemea na taasisi zengine waige hilo.Mchakato wa kulipwa malipo ya ziada kwa Watumishi wa Idara ya Radiology si kwamba wao ni idara pekee ambao hawajalipwa au hawalipwi extra duty, bali kulishafanyika makubaliano kuwa hakutakuwa na malipo hayo na siyo Idara yao pekee. Kutokana na formula ambayo Radiology waliwekewa huko nyuma, iliazimiwa kuwa wasipewe extra duty (ED) ili kuleta usawa wa malipo ya allowances kwa Watumishi walio ndani ya MNH na katika hili hawapo peke yao Pharmacy na Psychiatry pia wana utaratibu unaofanana.
Masuala mengine yanafanyiwa kazi kadri ya taratibu na kanuni za Serikali na taasisi zinavyotuongoza hivyo kila kitu kipo kwenye mikono salama na kinashughulikiwa.
Unastahili pongezi 👍Mchakato wa kulipwa malipo ya ziada kwa Watumishi wa Idara ya Radiology si kwamba wao ni idara pekee ambao hawajalipwa au hawalipwi extra duty, bali kulishafanyika makubaliano kuwa hakutakuwa na malipo hayo na siyo Idara yao pekee. Kutokana na formula ambayo Radiology waliwekewa huko nyuma, iliazimiwa kuwa wasipewe extra duty (ED) ili kuleta usawa wa malipo ya allowances kwa Watumishi walio ndani ya MNH na katika hili hawapo peke yao Pharmacy na Psychiatry pia wana utaratibu unaofanana.
Masuala mengine yanafanyiwa kazi kadri ya taratibu na kanuni za Serikali na taasisi zinavyotuongoza hivyo kila kitu kipo kwenye mikono salama na kinashughulikiwa.
Lina ukweli kabisa.Nakupe hongera mkuu kwa muda uliochukua kujibu hlo dodoso....sikutegemea na taasisi zengine waige hilo.
Kuhusu ulicho kijibu kina ukweli au laa hilo niwaachie wataalamu...
Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini.
Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa extra duty tena ni saa 11 wana-sign out wanalipwa. Vipi kwa Muhimbili Hospitali kubwa kwanini wanafanya hivyo na kwanini Idara ya Radiology?
Ina maana kuna kitu hakipo sawa huko kwenye kurugenzi ya huduma shirikishi maana haiwezekani extra duty zinafanywa kisha hazilipwi.
MNH hamlipi ED wafanyakazi wenu,aibu hii,mnawavunja moyo sana watumishi.Mchakato wa kulipwa malipo ya ziada kwa Watumishi wa Idara ya Radiology si kwamba wao ni idara pekee ambao hawajalipwa au hawalipwi extra duty, bali kulishafanyika makubaliano kuwa hakutakuwa na malipo hayo na siyo Idara yao pekee. Kutokana na formula ambayo Radiology waliwekewa huko nyuma, iliazimiwa kuwa wasipewe extra duty (ED) ili kuleta usawa wa malipo ya allowances kwa Watumishi walio ndani ya MNH na katika hili hawapo peke yao Pharmacy na Psychiatry pia wana utaratibu unaofanana.
Masuala mengine yanafanyiwa kazi kadri ya taratibu na kanuni za Serikali na taasisi zinavyotuongoza hivyo kila kitu kipo kwenye mikono salama na kinashughulikiwa.
Kumbe Mahondaw ni Radiographer..?