Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwanini mo mwenyewe asifanikishe kuleta wachezaji na kuwasaini mwenyewe?Simba iko mikononi mwa viongozi ambao ni kama walipanga kuididimiza angalia wachezaji tegemeo wa yanga simba ndio ilikuwa ya kwanza kutaka kuwasajili kilichotokea ni kama wao ndio kilikuwa kizingiti hadi kuhakikisha hawaji simba badala yake wakasajili wachezaji vituko.Je ni kweli Mo kashindwa kudhibiti huu uhuni?nasita kukuamini..
Ulienda uwanjani juzi?Mambo yakujitakia timu haijulikani structure ya uongozi, mashabiki hatujui tumushike uchawi nani kati ya Mo, Try again au Mangungu
Siwezi kupoteza mda wangu kuangalia watu wanaruka ruka kama mgambo mchezaji kama Kibu anapataje number Simba,?Ulienda uwanjani juzi?