Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200


Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?!

Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa.

Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
 
Kwangu haifunguki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Mbona mimi mgeni wangu alikuja kutoka Ulaya na watoto na mke wake, walikaa karibu masaa mawili wakijaza forms ambazo hata hazifahamiki kichwa wala miguu, mwisho alipoondoka ameniambia haji tena Tanzania kwani ziko nchi nyingi ambazo anaweza kwenda bila viza na wala hazina usumbufu wowote. Hiyo ni Zanzibar airport
 
kumekuwa na taarifa zilizoko nusu nusu, ka ile ya ndege kotokutua uwanja wa DSM - hadi leo sijasikia alotoka na kukanusha habari hiyo

tunapotangaza utalii ni muhimu kuboresha huduma tutoazo kwao - hoteli/usafiri/ukalimani nk
 
Hilo si mara ya kwanza.
Nimefanya kazi na wageni, wanalalamikia sana huduma zetu airport. Li nchi la kijingajinga kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom