Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tumia browser itafunguka.
Huu ni uzwazwa, biresheni huduma zenu, acheni kufanya kazi kwa mazoeaView attachment 2436426
Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?!
Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa.
Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
Weka source kabla ya kusubiri povu letu.View attachment 2436426
Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?!
Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa.
Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
Wanapenda rushwa hao.Upumbavu huyo ndio mzalendo uhamiaji mnapenda kutoa vitisho mmejaza na wanausalama kibao ili kuwatisha watu acheni ushamba hii nchi ni ya wote nyie sio Miungu watu.
Uhamiaji Mazuzu tu huu ni upumbavu wajitizame na kujisahihishaView attachment 2436426
Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?!
Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa.
Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
Wengi ni watoto wa makada wa CCM wamepeana hizi kazi na kichwani hamna kituUhamiaji Mazuzu tu huu ni upumbavu.wajitizame na kujisahihisha
Wakimpata tukuite Mbwa....Mie nipo pale nimekaa nasubiria wampate
Waziri husika na wakuu wa idara husika wajiuzulu tu. Ndio uwajibikaji wenyewe huo umeshindwa kupeform pisha wengineHilo si mara ya kwanza.
Nimefanya kazi na wageni, wanalalamikia sana huduma zetu airport. Li nchi la kijingajinga kwenye kila kitu.