Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hiyo tangu zamani, idara ya uhamiaji watumishi wake walikuwa wakipitia mafunzo ya kijeshiKwahiyo watakuwa wanapitia mafunzo ya kijeshi na kundeshwa kwa nidhamu ya kijeshi? Watashtakiwa mahakama za kijeshi?
Watakuwa kama Askari polisi wa Simon zero , upo nyonyo ?Kwahiyo watakuwa wanapitia mafunzo ya kijeshi na kundeshwa kwa nidhamu ya kijeshi? Watashtakiwa mahakama za kijeshi?
Nimecheka kishenzi!πWale jamaa walikuwa ninwakarimu sana! Kwa sisi wazee wa boda to boda, sasa wakiwa jeshi si watakuwa makauzu?
Nafikiria zile zama unapita na pass ishaisha miezi kibao, wanakwita wanakuambia bwana mdogo huu mchezo sio mzuri usirudie tena, nenda zako, sasa likiwa ni Jeshi ulete huo upuuzi nahisi utatoka ndani ya yale majengo ukiwa unatambaa...
π π π π πupo nyonyo ?
Ccm inakuwa na majeshi mangapi sasa?Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji
Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa
π π πWale jamaa walikuwa ninwakarimu sana! Kwa sisi wazee wa boda to boda, sasa wakiwa jeshi si watakuwa makauzu?
Nafikiria zile zama unapita na pass ishaisha miezi kibao, wanakwita wanakuambia bwana mdogo huu mchezo sio mzuri usirudie tena, nenda zako, sasa likiwa ni Jeshi ulete huo upuuzi nahisi utatoka ndani ya yale majengo ukiwa unatambaa...
Hujamboo mama D?π π π π π
Kuna sheria moja hiyo ndio naisubiri ianze kufanyakazi ile ya kufanya mahabusu wawe nao wanafanyakazi. Muda ukifika kuna watu watajuta kuipitisha.Mhhh mbona sheria zinapitishwa kwa fujo?
Exactly, hata maafisa misitu sasa ni maafande (jeshu usu). Awamu ya tano kama ingeendelea mpaka mwisho hata Walimu na madaktari wangegeuzwa wanajeshi aisee... [emoji12][emoji12][emoji12]TANAPA, TAWA nao wamekuwa jeshi usu, hii nchi inanda sana kutumia nguvu katika kila jambo