Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 1, 2025 #101 Hapana... Cc: Mahondaw
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Feb 1, 2025 #102 TUJITEGEMEE said: Kwa nini humtaki Trump au Putin? Nadhani hauwabagui ndugu zetu wa ng'ambo. Click to expand... Nimeona wapo mbali sana tuanzie wa karibu. Hao nawakubali pia
TUJITEGEMEE said: Kwa nini humtaki Trump au Putin? Nadhani hauwabagui ndugu zetu wa ng'ambo. Click to expand... Nimeona wapo mbali sana tuanzie wa karibu. Hao nawakubali pia
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Feb 1, 2025 #103 Hatari sana
Gatabhanya JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2,644 Reaction score 5,178 Feb 1, 2025 #104 1120ulimwengu said: Labda kama haujui geopolitics ya ukanda wa maziwa makuu!Dig in bro Click to expand... Ameshafanya nini cha ajabu hadi mnamkuza hivo?
1120ulimwengu said: Labda kama haujui geopolitics ya ukanda wa maziwa makuu!Dig in bro Click to expand... Ameshafanya nini cha ajabu hadi mnamkuza hivo?