Idaraa ya Elimu Bagamoyo acheni ubabe

Idaraa ya Elimu Bagamoyo acheni ubabe

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Mwaka wa 3 hamnipi mshahara wangu na nilitimiza vigezo kwenda masomoni na kila nikifika hapo kwa mkurugenzi makarani wanasema ataitwa afisa utumishi na Deo,Msitumie ubabe pasipostahili ubabe.nimefanya miaka5 kazi eti Majoya anasema niahirishe mwaka,na ilikua zamu yangu kusoma,kuleni mishahara yangu mana mmezoea kutuonea walimu.
 
Kwa msaada wa kimawazo tafadhali tuma ujumbe wa tafadhali nipigie 0759063942.mana siamini kua kuna haki Africa
 
Back
Top Bottom