Mwaka wa 3 hamnipi mshahara wangu na nilitimiza vigezo kwenda masomoni na kila nikifika hapo kwa mkurugenzi makarani wanasema ataitwa afisa utumishi na Deo,Msitumie ubabe pasipostahili ubabe.nimefanya miaka5 kazi eti Majoya anasema niahirishe mwaka,na ilikua zamu yangu kusoma,kuleni mishahara yangu mana mmezoea kutuonea walimu.