Wadau ni kituo kinachotoa huduma rafiki kwa vijana haswa kuhusiana na magonjwa ya zinaa, afya ya uzazi, wa virus vya UKIMWI kwa hiari ulazimishwi na kupewa ushaur bure pia hiyo huduma ni BURE na matibabu pia,wapo between central polisi steshen km unaenda waterfront katikat kuna mabreakdown yanapak bc kwa mbele kdg ndo wapo..huduma ya vijana inaanza sa6-11jion na jumamos sa3-6.
Kujua afya yako ni muhim sana haswa kwa sis vijana ambao ni nguvu ya Taifa, karibuni sana!
Kujua afya yako ni muhim sana haswa kwa sis vijana ambao ni nguvu ya Taifa, karibuni sana!