Amin aliishi sana Tanzania wakati akiwa KAR, kwa hiyo sishangai kwake kuongea kiswahili sana. Vile vile sehemu kubwa ya NCOs wa kwanza kwanza wa jeshi la Uganda walifundishiwa Tanzania, na hao ndio baadaye walikuwa maofisa wa jeshi hilo. Baada ya kurudfi kwao waliendelea kutumia kiswahili kuendeshea mafunzo ya awali ya kijeshi waliyosimamia. Ilifikia kiasi kuwa kiswahili kilichukuliwa kama ndiyo lugha yao ya kijeshi.Hivi huyu Amin duu anachekesha sana, Hivi mbona aalikuwa anatumia kiswahili sana? tofauti na waganda wengi.
Yeah...Amin was something else. Ukimsikiliza utacheka ile mbaya....
Amin aliishi sana Tanzania wakati akiwa KAR, kwa hiyo sishangai kwake kuongea kiswahili sana. Vile vile sehemu kubwa ya NCOs wa kwanza kwanza wa jeshi la Uganda walifundishiwa Tanzania, na hao ndio baadaye walikuwa maofisa wa jeshi hilo. Baada ya kurudfi kwao waliendelea kutumia kiswahili kuendeshea mafunzo ya awali ya kijeshi waliyosimamia. Ilifikia kiasi kuwa kiswahili kilichukuliwa kama ndiyo lugha yao ya kijeshi.
Nimekupata mkuu.Lakini huu ujasili alikuwepo nao na huko kujiamini navyo alivipata kutoka TZ nini? maana nasikia Mseven naye kapitia TZ
...Mkuu unajua kuna kipindi huyu jamaa(Idi)aliwahi kumtumia Mwl.Telegraph akimweleza ya kuwa ni bahati mbaya sana kwamba yeye(Mwl.) ni Mwanamume lasivyo angehakikisha anamuoa!!-ohh! what a joke!Yeah...Amin was something else. Ukimsikiliza utacheka ile mbaya....
Inawezekana alipata confu hilo hapo bongo kweli. Niliwahi kuambiwa kuwa kuna wakati alikuwa kombania moja na Mayunga.
Museveni yeye alisoma pale chuo kikuu akiwa anaishi jumba linaloitwa siku hizi Hall 1: zamani hizo lilikuwa likiitwa London Hall. Hiyo ilikuwa ni miaka ya sabini ambapo vuguvugu la mapinduzi lilikuwa kali sana na UDSM ilikuwa na wanazuoni wa hali ya juu sana katika anga la mapinduzi kama akina Walter Rodney na wengineo.
....Mkuu on that note nakumbuka kwa 'mama' Msikinya Hall III-out of bound for male students after 10 at Night!!!Inawezekana alipata confu hilo hapo bongo kweli. Niliwahi kuambiwa kuwa kuna wakati alikuwa kombania moja na Mayunga.
Museveni yeye alisoma pale chuo kikuu akiwa anaishi jumba linaloitwa siku hizi Hall 1: zamani hizo lilikuwa likiitwa London Hall. Hiyo ilikuwa ni miaka ya sabini ambapo vuguvugu la mapinduzi lilikuwa kali sana na UDSM ilikuwa na wanazuoni wa hali ya juu sana katika anga la mapinduzi kama akina Walter Rodney na wengineo.
....Mkuu on that note nakumbuka kwa 'mama' Msikinya Hall III-out of bound for male students after 10 at Night!!!
-anyway ni kweli Mwl. aliwa-groom jamaa wengi Tz. Chissano,Kabila(senior),
M7
sina uhakika na Xuma, lakini Bob yeye alipiga shule yake kule kwa Mama(UK).Mbona hizi ngoma zote zilikuwa hatari si ajabu nikasikia Mugabe pamoja na Xuma nao waliweka kambi Tz.
Mbona hizi ngoma zote zilikuwa hatari si ajabu nikasikia Mugabe pamoja na Xuma nao waliweka kambi Tz.
Umesahau kozi za "....ALAAM UNIVERSITY?"
Alikuwa na akili sana.
...Kuna mtu aliwahi kuniambia hata marehemu John Garang alipitia bongo kuanzia secondary school kule Magamba sec Lushoto!!!!....Mkuu on that note nakumbuka kwa 'mama' Msikinya Hall III-out of bound for male students after 10 at Night!!!
-anyway ni kweli Mwl. aliwa-groom jamaa wengi Tz. Chissano,Kabila(senior),
M7