Idd njema.. Ofa ya huduma za Graphics

chief_

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
830
Reaction score
1,395
Kwa mahitaji yako ya kukuza na kutangaza biashara yako karibu tuzungumze..

LOGO
POSTER
PACKAGE STICKER & LABELS
MOTION GRAPHICS N.K

Sampuli za kazi zangu ziko katika online portfolio hii hapa link

WORK PORTFOLIO
 
Illustration unafanya?

Nina project napata mara kwa mara..
 
Ok mkuu! samahan sikua online for sometimes, naomba kutengenezewa label kwaajili ya vifungashio(mifuko na bahasha) sijui itawezekana?

Moja kati ya kazi zangu mkuu... Inawezekana... Karibu sana nikupe kile utakacho
 
Kwa kuibrand biashara yako, karibu nikusaidie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…