steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Sawa
Iddi Amin ameandikwa kwa upande mmoja mazuri yake hayajaandikwaKwahiyo uzuri wake uko hapo tu kwenye kuwatawala wazungu? Kwamba yale tunayoyasikia kuwa alikuwa anatesa watu na kuwaua kisha kuamuru wakatupwe mto kagera ni ya uongo?
Hats wewe hujaijua Vita ya kagera kiundani Kuna vitu vingi hujavijua kuhusu Vita ya kagera na hukujuw kwanini hasa Vita ilipiganwa chanzo pia halisi hukijuiKwamba na wewe umesimuliwa habari Za Iddi Amin na umekuja na andiko na kuhitimisha kwamba Uganda ingekuwa ni zaidi ya USA?
Kama alipigwa na TZ akiwa na sapoti ya Ghadafi basi alikua goigoi sana na Hakua mwepesi kujua nini kitatokea kesho kwa matendo yake ya Leo.
Kwamba wakati wa Amin Uganda iliendelea Sana? Kuna shida kwenye kuchanganua mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaya ya nyerere unayajuwa? Narudi kwenye mada yangu kuwa iddi kaandikwa upande mmoja hata nyerere kaandikwa upande mmoja jaribu kufuatilia visa vya akina Bibi titi na kambona utaelewaIddi amin Dadah + Muamar Gadafii = Mashetani waafrica
Hamna kiongozi mzuri anaua hadi member wa familia yake
Mtu anaua rai laki 5 mpuuzi moja ana msifu?
Ndio maana Mimi na kubali watu type ya JK, Mohammad Jibril,Kenyata
Zuma
Siasa ni ustarabuuu
Unashangaa VP wakati Libya tu enzi za ghadafi ilikuwa na strong economy?Nimeishia hapo Uganda kuizidi Marekani Kama Idd amini angekuwa hai
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.
Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona
Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.
Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa
Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo
View attachment 1410514
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana ulikuwa hujazaliwa kipindi hicho; la sivyo usingesema hivyo.Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.
Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona
Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.
Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa
Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo
View attachment 1410514
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaya ya nyerere hayamfanyi IDD awe mwema IDD alivuruga Nchi na yeye mwenyewe alitubu na alienda kuhijji maka x50 ili awe guruMabaya ya nyerere unayajuwa? Narudi kwenye mada yangu kuwa iddi kaandikwa upande mmoja hata nyerere kaandikwa upande mmoja jaribu kufuatilia visa vya akina Bibi titi na kambona utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo uyataje hayo mazuri mkuu! Kusema Idd Amin ana mazuri yake ni sawa na kusema Shetani naye ana mazuri yake hivyo tusahau mabaya anayotenda tumkumbuke na kwa mazuri siyo?