Tanzania pekee asingeweza alipigwa na Tanzania frelimo museven na jeshi lake obote na jeshi lake plus wacubaKwamba na wewe umesimuliwa habari Za Iddi Amin na umekuja na andiko na kuhitimisha kwamba Uganda ingekuwa ni zaidi ya USA?
Kama alipigwa na TZ akiwa na sapoti ya Ghadafi basi alikua goigoi sana na Hakua mwepesi kujua nini kitatokea kesho kwa matendo yake ya Leo.
Kwamba wakati wa Amin Uganda iliendelea Sana? Kuna shida kwenye kuchanganua mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ulikuw umezaliw ila hujui chochoteInaonekana ulikuwa hujazaliwa kipindi hicho; la sivyo usingesema hivyo.
Iddi amini alinyang'anya ardhi iliyopolwa na wagen akawapa natives,alichukuwa Mali za wahindi zilizopatikana kwa kuwakandamiza waganda akawapa natives mengi alifanyaNdiyo uyataje hayo mazuri mkuu! Kusema Idd Amin ana mazuri yake ni sawa na kusema Shetani naye ana mazuri yake hivyo tusahau mabaya anayotenda tumkumbuke na kwa mazuri siyo?
Kijana sikia nikuambie; usiamini kila unalosimuliwa. Wengine tumeshuhudia kipindi chote cha Idi Amin Dada kwa hiyo hatudanganyiki na vijipropaganda uchwara.
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.
Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona
Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.
Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa
Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo
View attachment 1410514
Sent using Jamii Forums mobile app
Enhe vipi na wale waafrika wenzie aliokuwa anawatesa na kuwaua? Au hizo ardhi alikuwa anaangalia watu wa kuwapa?Iddi amini alinyang'anya ardhi iliyopolwa na wagen akawapa natives,alichukuwa Mali za wahindi zilizopatikana kwa kuwakandamiza waganda akawapa natives mengi alifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
duh myahud wa buza umekujaKwahiyo uzuri wake uko hapo tu kwenye kuwatawala wazungu? Kwamba yale tunayoyasikia kuwa alikuwa anatesa watu na kuwaua kisha kuamuru wakatupwe mto kagera ni ya uongo?
Ndiyo, nambie 'myahud' mwenzangu wa buza.duh myahud wa buza umekuja
U been blinded by the some skewed movies.... U don't know Idd Amin Dada..Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.
Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona
Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.
Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa
Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo
View attachment 1410514
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa nzima au Dunia nzima kila nchi watu wanateswa na kuuwawa,usidhani Amin alikamata tu wa hovyo mitaani na kuwauwa,waliuliwa na wana usalama wake kwa sababu mbalimbali ikiwepo kutaka kumuua Amin,usimone hivo usiku alikuwa halali anaogopa kuuliwaKwahiyo uzuri wake uko hapo tu kwenye kuwatawala wazungu? Kwamba yale tunayoyasikia kuwa alikuwa anatesa watu na kuwaua kisha kuamuru wakatupwe mto kagera ni ya uongo?
Nilisikia alimuua na mama yake ni kweli au uongo ??Africa nzima au Dunia nzima kila nchi watu wanateswa na kuuwawa,usidhani Amin alikamata tu wa hovyo mitaani na kuwauwa,waliuliwa na wana usalama wake kwa sababu mbalimbali ikiwepo kutaka kumuua Amin,usimone hivo usiku alikuwa halali anaogopa kuuliwa
hahahaha😂😂 Ni uongo Boss,mama ake Idd amin inaaminika alikuwa mganga wa kienyeji huko kijiji cha Koboko Uganda,unajua Amin alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwahi kusimulia Historia ya maisha yake zaidi ya kusema alikulia katika umasikini na hakuwahi kuruhusu mtu aandike Historia yake ndio maana mpaka leo haijulikani alizaliwa lini wala taarifa zake za UtotoniNilisikia alimuua na mama yake ni kweli au uongo ??
Oohh hayahahahaha[emoji23][emoji23] Ni uongo Boss,mama ake Idd amin inaaminika alikuwa mganga wa kienyeji huko kijiji cha Koboko Uganda,unajua Amin alikuwa mtu wa ajabu sana hakuwahi kusimulia Historia ya maisha yake zaidi ya kusema alikulia katika umasikini na hakuwahi kuruhusu mtu aandike Historia yake ndio maana mpaka leo haijulikani alizaliwa lini wala taarifa zake za Utotoni
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano Ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi kuna upuuzi tusingeuona.
Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihirisha pichani. Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa
Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app