Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Mhh, Iddi Simba, mzawa, mchacharikaji, muadilifu, msema kweli, mchapa kazi yu wapi shujaa huyu?
Zaidi ya rhetoric za uzawa, smear ya rushwa ya sukari and the eventual surrendering, huyu bwana amefanya nini concrete?
...nothing!
Zaidi ya rhetoric za uzawa, smear ya rushwa ya sukari and the eventual surrendering, huyu bwana amefanya nini concrete?
Taratibu kaka, nothing is nothing.
Si wanasema kaanzisha vi financial movement?
Ukitaka kumchambua mtu usiache kuangalia his best work.
Bongo nani amefanya kitu au vitu "concrete"?
John Mashaka wa Wall St. South π
John Mashaka wa Wall St. South π
...Mashaka kufanya kazi kwenye hizo financial firm za charlotte naona imekuwa issue,kuna investment banker kibao watanzania wamejaa new York,IB ni kazi nzuri lakini sio inakufanya uonekana a standout!

...financial movement in what sense? alianzisha tuu his own firm/company/fund kukamua profit au worked in policy/bill iliyo affect our financial industry (for the bettrer)? sijawahi kusikia zaidi ya vibali vyake sukari na uzawa nonsense politics!
watu kama hawa huwa hawapewi nafasi nchini kwetu na makundi yalioshika nchi kwani wanajua wazi wana lengo la kujenga nchi na sio kubomoa kama wao wanavyofanya.Mhh, Iddi Simba, mzawa, mchacharikaji, muadilifu, msema kweli, mchapa kazi yu wapi shujaa huyu?