Mwenendo wa Uchaguzi wa DAR utaripotiwa kwenye thread ya DAR na ule wa DODOMA kwenye thread ya Dodoma. Otherwise itakuwa kazi siku hiyo kujua nini kinachoendelea. Nadhani mchakato wa kura za maoni ulisababisha mkanganyiko wa kutosha, watu wanarudia maswali ambayo yameshajadiliwa. Sasa kwenye uchaguzi itahusu vyama vingi kwahiyo mkanganyiko huenda ukawa mkubwa zaidi. Si hivyo tu na pia baadhi ya watu wanainterest na majimbo fulani tu huenda hata matokeo ya kila kata yakawa yanaripotiwa km ilivyokuwa Busanda.hakutakuwa na uchakachuaji? utazuiaje member wa dsm asiripoti za idodomia au arusha?