CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hakuna benki inatoa mikopo "hovyo hovyo" hali si shwari kiuwekezaji since 2015.Tatizo la TIB sio mtaji, bali mikopo mibovu isiyolipika, benki imetoa mikopo hovyo hovyo hailipiki.
Tatizo la TIB sio mtaji, bali mikopo mibovu isiyolipika, benki imetoa mikopo hovyo hovyo hailipiki.
Lakini mabenki mengine yanatengeneza faida, kwa nini wao watengeneze hasara?Hakuna benki inatoa mikopo "hovyo hovyo" hali si shwari kiuwekezaji since 2015.
Since 2015 mabenki yanapata faida kwa amana na si kwa loan facility. Sekta ya mikopo imesinyaa "shrinking" toka 2016.lakini mabenki mengine yanatengeneza faida, kwa nini wao watengeneze hasara?