Idea ya kushoot film!

Idea ya kushoot film!

kidonto

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
1,961
Reaction score
2,918
Mimi ni Script,Story writer na Actor! Nina story nyingi na nzuri ambazo zipo kwenye mfumo wa Script tayari, tatizo mtaji kama kuna mtu ana idea ya kuwekeza kwenye Film inderstry ani PM tafadhari tushirikiane, film bongo inalipa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom