kidonto JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 1,961 Reaction score 2,918 Jan 9, 2014 #1 Mimi ni Script,Story writer na Actor! Nina story nyingi na nzuri ambazo zipo kwenye mfumo wa Script tayari, tatizo mtaji kama kuna mtu ana idea ya kuwekeza kwenye Film inderstry ani PM tafadhari tushirikiane, film bongo inalipa kwa sasa.
Mimi ni Script,Story writer na Actor! Nina story nyingi na nzuri ambazo zipo kwenye mfumo wa Script tayari, tatizo mtaji kama kuna mtu ana idea ya kuwekeza kwenye Film inderstry ani PM tafadhari tushirikiane, film bongo inalipa kwa sasa.