Idea ya kutembeza viatu kwa kutumia baskeli

Idea ya kutembeza viatu kwa kutumia baskeli

dudumizi 09

Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
17
Reaction score
13
Wasalam wana bodi;

Kuna wazo ninalo, niina mpango wa kuuza viatu vya mtumba kwa kutumia baskeli, mfano Kama wa zile za Azam wanazouziaga Ice cream.

Ipo hivi;

Nataka kuunda baskeli kwa mfumo ule lakini juu natengeneza vizuri kwa kutumia Alminium na vioo, then napanga viatu. natafuta mtu anakuwa anazunguka nayo mjini.

Sasa tatizo nililonalo, je manispaa hawataniletea shida? Na Kama watanisumbua nitumie mbinu gani ambayo itasaidia kuhalalisha biashara yangu?

Tafadhali naombeni mawazo yenu maana hili wazo ninalo muda mrefu na sasa nataka kulifanyia Kazi rasmi.

Nawasilisha kwenu!
 
tafta leseni ya biashara yako kabla hujaanza wala hautosumbuliwa.
 
Back
Top Bottom