Idea yako ndio utajiri wako! Tuwasiliane kama una idea makini ya biashara

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,130
Idea yako ndio utajiri wako! Kama una idea makini ya kibiashara tuwasiliane tuipe uhai idea yako.

Wadau kama kuna yeyote mwenye idea ya kibiashara, lakini ameshindwa ku finance idea yake namkaribisha alete idea yake tuiangalie kiundani tukikubaliana nayo, tunafuata taratibu za kisheria kwa ajili ya utekelezaaji wa idea.

Acha kulalamika maisha ni magumu wakati utajiri unao kichwani mwako. Acha kulalamika kazi hakuna wakati utajiri unao akilini mwako. Acha kulalamika kazi hailipi wakati utajiri unao akilini mwako. NJOO LETA IDEA YAKO MAKINI TUIPE UHAI IDEA YAKO TUAGANE NA UMASKINI! Usiache idea yako ife kwa kuinyima uhai.

Tuma idea kwenda hapa: ideamakini at gmail dot com

Karibuni sana
TheDealer
 
Clarification zaidi
Adress..
Ni Kampuni ama mtu binafsi
etc etc
hii kitu huwa ni.ngumu kuiprotect kwani unaweza kusema you had the same idea before or someone else alishasubmit sasa hapo ndio ngoma nzito
 
Clarification zaidi
Adress..
Ni Kampuni ama mtu binafsi
etc etc

hii kitu huwa ni.ngumu kuiprotect kwani unaweza kusema you had the same idea before or someone else alishasubmit sasa hapo ndio ngoma nzito

Si kampuni, ni makampuni mkuu! Tupo popote Tanzania kwa sasa.

Yeah, yaweza kuwa ngumu lakini ni rahisi sana pia maadam idea yako ipo very unique! Wakati wa majadiliano kuna baadhi ya soft technical issues ambazo mwenye idea itambidi a withheld bila kuzungumzia kwa ajili ya kujihakikishia usalama wa idea yake;

but all in all sisi tuna nia njema ya kufufua ideas na kuzipa uhai stahiki kwa jili ya kumtoa mwenye idea kutoka point moja na kumpeleka pointi nyingine nzuri kimaisha!

Karibu!
 

Nina idea mkuu naiwasilisha vipi?
 
Last edited by a moderator:
Sasa hiyo idea unaiweka hapa? Maana sioni contacts. Au mpaka ufuatwe pm?
 
ungesema nani anapata nini. yaani mkianza kazi mgawano asilimia ngapi kwa ngapi, mnaweza kuinvest sh ngapi hadi ngapi, na ni wapi mnatoa pesa ? msije wapa watu pesa za ESROW.

Aiseee.......
 
Utaibiwaje idea wewe??

TheDealer naona unaenda kimapepe sana,please try hata kucopy huko marekani kampuni kama yako hiyo wanavyofanya...come open nd be professional....

Unaweza kufund projects za max capital kiasi gani?Za sekta zipi hasa?Usije kisanii namna na slang za "Ova"...piece of BS!
 
Yaani ww ulitaka tuweke kila hadharani? Hii ni sawa na kuweka mikataba yote ya bongo hadharani? Is it wise??

Taja jina la kmpuni yenu,web link yenu,portifolio za kmapuni mlizofund na zimefanikiwa ngapi...na jee are u guys nice to work with?

Hii ni partnership,kuwe na mutual respect na sio unakuja hapa na kusema leteni idea,mtu hajui who are u...

Kajipange vizuri mzee and stop being dellusional
 
Clarification zaidi
Adress..
Ni Kampuni ama mtu binafsi
etc etc
hii kitu huwa ni.ngumu kuiprotect kwani unaweza kusema you had the same idea before or someone else alishasubmit sasa hapo ndio ngoma nzito

Same ideas but different goals, so don't give up, biashara inahitaji confidance, don't be scare to loose.
 
Mh,... nna wasiwasi na mtoa mada. Anajaribu kuenjoy watu hapa hana lolote!

Might be, lakini baadhi ya ideas huhitaji kumwaga hadharani mtu unaweza kuibiwa ideas zako,kama alivyo sema mwenyewe kuwa ideas ni utajiri
 
Mwaka 2009 nikiwa nilikuwa na idea's yangu, ya ki technology, wakati huo nipo nchini Ireland, idea hio matumaini yangu kama ningefanikiwa ningekuwa bilinear, idea ile niliwasiliana na manufacturer in China wanitengezee one sample kwanza, Ikisha tutafanya contract nikifanikiwa kwa ajili ya kuingiza katika soko la ulaya,

wakaniambia ita ni cost dola 2000, nikawambia sawa, baadaye wakanitumia email kuwa wanataka dola 32,000 Nikaona hawa wanataka mchezo mchafu, na ile idea walinambia ni new technology so lazima waifainyie kazi, mimi nikawambia sawa wanifanyie lakini sikuwa na pesa za kutosha, baada ya muda wale jamaa manufacturer kila nikipiga simu hawapokei na wakipokea wanakata,nikasema nishatiwa changa la macho.

My goal ilikuwa nipeleke katika competition katika mambo ya wataalam, na nilikuwa naa mini inaweza kupita. Kwani ilikuwa ni new idea ya ki technology.
 
GHIBUU

Mkuu waliona sio mass production na hawawezi ku allocate factory resources kujenga one item kwa usd-2000,walidhani una sizable quantity na kwa long term labda.

Walikupiga chini purely on business grounds..na pia idea wewe unaweza kua nayo very excited lakini kwa wengine wanaojua wakaiona very mediocre at best..

Kama wrwe ni fundi/engineer jenga prototype zako mwenyewe ili uweze kujibu maswali kwa investor vizuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
Samahani Lakini Naweza kutuma idea yangu kwa email..mkakaa kimya huku mkiifanyia kazi..

Au Nikiwapa mnaweza sema hiyo tulishaipata na kuifanyia kazi kumbe loh

Na mengineyo kama hayo..

Nazungumzia hivyo kwa sababu kuna mwenzangu (rafiki yangu sana sana) tulitaka kuanzia biashara based on agrubusiness Mi nikawa na idea na fursa za masoko ila kufinance yeye kwa 80% sasa wakati tukiwa katika kukaribia kuanza project kama wiki moja sasa tuanze akaniambia ameibiwa hela kwenye MPESA yake yaani kuna rafiki yake aliazima simu kumbe anajua passwors yake ni mwaka wa kuzaliwa akachukua hela yote kisha akatoweka mpaka leo..

Kumbe jamaa ni mwongo hakuibiwa wala nini ila alichukua ile hela akatuma kwao waanze ile project na kweli ikaanza sasa Mungu si athuman nlikuwa nafahamiana na mdogo wake siku tukakutana facebook aliponisimulia nilisikitika sana sana sana.

Nimetoa mfano huo labda naomba unieleweshe hapo Nikikupa idea yangu idea yangu hiyo italindwaje?? (Kiswahili kumenishinda kidogo namna ya kuuliza)
labda nijaribu kwa kiingereza How my idea will it be protected??
 
Niamini MIMI nimeibiwa sana idea tena NA kama haitoshi wezi,ndugu ZANGU MWENYEWE wengine marafiki,siwezi kumpa mtu idea bora niangaike kidogokidogo ila naamini nitafika malebgo ..
BINADAMU TUMETOFAUTIANA SANA
 

Hapana
Waliona ni biashara nzuri kwani mimi niliwauliza jee hii idea new technology ipo China wakaniambia bado, hio project ipo ispokuwa mimi nimeifikiria more development, hivyo kwa engineering sio kazi kubwa sana,walinambia kazi yao ni kufanya experiment tu, ilikuwa itumike kwenye magari, hata kwenye airplane.
Hawa jamaa baada ya kuona kuwa ni kitu value, wakaingia mitini, mimi sikuwa na muda wa kuifanya hio kazi nilikuwa masomoni, pili nilikuwa nakabiliwa na mitihani, nilipata kufikiria hiko kitu nikiwa nasoma at the same time Ireland ilianguka kiuchumi ilipelekea kuchukua mkopo mkubwa IMF, hivyo serikali pia ikajaribu kuchukua vipaji kwa wajarisilia mali wadogo na kuwapa uwezo ili kuweza kutoa ajira kwa nchi na uzalishaji biashara.

Sijawahi kuona katika maisha yangu, walijitokeza watoto wadogo wa secondary na idea tofauti wakati huo, na kulianzishwa majukwaa maalum, na wataalam wakiangalia your creation products, vijana wamebahatika kupata ungwaji mkono na serikali, hivi sasa vijana hao naamini mabilionea.
Hapo na mimi nikafikiria kufanya hivyo vitu, nilikwenda instutute technology, pale nikapata ushauri, hata hapo chuoni wanafunzi hutumia njia kama yangu kuoda design China na kufanya assembly mwenyewe, ispokuwa design ametoa mwenyewe. Na inahesabika kuwa yeye ndo mtengezaji, it's doesn't matter.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…