Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jul 27, 2021 #1 Teenagers wengi bado ni wanafunzi wanahitaji sehemu ya kujisomea wakiwa nyumbani. Ni muhimu kuanza kumfundisha kusafisha na kupanga chumba chake kila mara hasa weekend. Haya ndiyo maandalizi ya kupanga nyumba yake miaka
Teenagers wengi bado ni wanafunzi wanahitaji sehemu ya kujisomea wakiwa nyumbani. Ni muhimu kuanza kumfundisha kusafisha na kupanga chumba chake kila mara hasa weekend. Haya ndiyo maandalizi ya kupanga nyumba yake miaka
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,691 Reaction score 2,967 Jul 28, 2021 #2 waonyeshe wapi wataweka na majiko yao ya mkaa
Ferruccio Lamborghini JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,667 Reaction score 2,595 Jul 28, 2021 #3 Sawa
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Jul 28, 2021 #4 Ndo chumba cha teenager wako au vp
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Jul 28, 2021 #5 Kwa bongo ni wachache wataweza. Huku tunaishi store ila mtu anakuambia ni sebule au chumbani.