Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapata exposure [emoji23]
Aah bwana usiwaze huko, angalau tuoshe macho sasa uishi ghetto na ukifa unaenda motoni, haya maisha bwana.Hizi exposure zingine zinatia hasira tu.
Hebu ngoja kwanza nimalizie uji niweze kuona picha vizuri, nikimaliza nitajifariji "mwisho wa siku wote tutakufa tu".
Aah bwana usiwaze huko, angalau tuoshe macho sasa uishi ghetto na ukifa unaenda motoni, haya maisha bwana.
HahahahhaDemiss uko wapi mama, chagua picha moja nataka nikuhonge nyumba