Idea za mpangilio wa jiko

Hayo majiko mnataka kuua panya nyie sasa watakula wapi wenzenu
 
Hizi exposure zingine zinatia hasira tu.
Hebu ngoja kwanza nimalizie uji niweze kuona picha vizuri, nikimaliza nitajifariji "mwisho wa siku wote tutakufa tu".
Aah bwana usiwaze huko, angalau tuoshe macho sasa uishi ghetto na ukifa unaenda motoni, haya maisha bwana.
 
Sis wenye jiko tunahesab uwepo wa mafiga matatu au mtungi wa gas tukutane hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…